Waathirika. - Dave McKay

Waathirika.

By Dave McKay

  • Release Date: 2015-04-02
  • Genre: Religious Fiction

Description

Ni nyakati za giza kuu ulimwenguni. Maafa na maasi yanatisha kuharibu Dunia. Lakini idadi chache ya wateule wanaoamini wanakuwa viongozi baada ya mabadiliko yaliyo tikisa ulimwengu kufuatia mageuzi na kuwepo imani na upendo. Riwaya hii, inayozingatia utabiri halisi ulio kwenye Bibilia, itafanya mengi zaidi na kuburudisha, kuvutia, kushangaza, na zaidi kukushawishi. Itakupatia changamoto ya kukutayarisha kwa yale yaliyo mbele. Kuwa tayari kusumbuliwa na yale yaliyoelezwa.